Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Kitabu hiki kimeangazia vitu mbalimbali vinavyopatikana nyumbani. Kupitia matumizi ya sentensi sahili, fupi na zenye mnato, msomaji anaelezwa majina yake.
Levelled Reader - Kiswahili
Vitu vya Nyumbani
KSh78 "Does not include Tax"
Mwandishi: Henry Indindi
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: Toleo la kwanza 2018
ISBN: 978-9966-56-340-0