Vitu na Majina

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Yahya Mutuku
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: Toleo la kwanza 2018
ISBN: 978-9966-56-344-6

SKU: N/A Category: Tag:

Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Kitabu hiki kimeangazia vitu mbalimbali vinavyopatikana katika mazingira ya mwanafunzi. Kupitia matumizi ya sentensi sahili, fupi na zenye mnato, msomaji anaelezwa majina yake.

Book Type

Print Book, e-book