Vitendo Mbalimbali

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Masera Lewela
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: Toleo la kwanza 2018
ISBN: 978-9966-56-341-5

SKU: N/A Category: Tag:

Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Kitabu hiki kinalenga kumwezesha mwanafunzi kufahamu na kutamka maneno yanayorejelea vitendo mbalimbali ipasavyo. Picha zinazoashiria vitendo hivi zimetumika pamoja na maneno sahili ili kummakinisha na kumnufaisha msomaji.

Book Type

Print Book, e-book