Tusome Msamiati

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Simiyu Mukuyuni
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: Toleo la kwanza 2018
ISBN: 978-9966-56-338-5

SKU: N/A Category: Tag:

Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Kitabu hiki kinaangazia vitu mbalimbali vilivyomo katika mazingira ya wanafunzi wa kiwango cha awali na kuvipa majina. Lugha sahili imetumika kurahisisha usomekaji wake. Vitu hivyo ni vipi?

Book Type

Print Book, e-book