Tesi na Ndege

KSh78KSh120 "Does not include Tax"

Mwandishi: Simiyu Mukuyuni
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: Toleo la kwanza 2018
ISBN: 978-9966-56-357-6

SKU: N/A Category: Tag:

Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Tesi na Ndege ni hadithi ya kusisimua, kuburudisha na kuelimisha. Baadhi ya mambo inayoyaangazia ni pamoja na utiifu, utu wema na kuwapenda wanyama. Msamiati mwafaka na lugha ya mnato vimesukwa kwa ubunifu wa hali ya juu ili kuhakikisha kwamba msomaji anasoma hadithi hii toka mwanzo hadi mwisho bila kusita.

Book Type

Print Book, e-book