Pendo Anapenda Matunda

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Henry Indindi
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: Toleo la kwanza 2018
ISBN: 978-9966-56-347-7

SKU: N/A Category: Tag:

Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Masimulizi haya yanaeleza kinagaubaga umuhimu wa kula matunda safi pamoja na kula chakula safi. Maswali yanayoulizwa katika masimulizi yamenuiwa kunoa ubongo wa msomaji.

Book Type

Print Book, e-book