Omari

KSh78KSh120 "Does not include Tax"

Author: Tom Nyambeka
Publisher: East African Educational Publishers
Year: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-345-3

SKU: N/A Category: Tag:

Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Omari anatumiwa na mwandishi kuwalekeza wanafunzi mambo mbalimbali ya kufanya wanapoamka hadi kuelekea shuleni. Je, Omari anapoamka anafanya nini?

Book Type

Print Book, e-book