Ng’ombe Wetu

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Tom Nyambeka
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-351-4

SKU: N/A Category: Tag:

Ng’ombe Wetu ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Masimulizi haya yanamhusu ng’ombe na ndama wake. Yanaeleza kinagaubaga anachokula ng’ombe na hali yake ilivyo kwa jumla. Maswali yametumika katika usimulizi ili kuipa mnato hadithi hii.

Book Type

Print Book, e-book