Neli Msichana Safi

KSh78KSh120 "Does not include Tax"

Mwandishi: Masera Lewela
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-334-7

SKU: N/A Category: Tag:

Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Hii ni hadithi sahili inayosimulia kuhusu Neli, msichana anayependa usafi. Kwa kusoma hadithi hii, mwanafunzi atanufaika kupata maarifa ya jinsi ya kutunza mazingira na kuwa na mpangilio maalum wa vitu mbalimbali.

Book Type

Print Book, e-book