Mtoto wa Simba

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Yahya Mutuku
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-352-1

SKU: N/A Category: Tag:

Mtoto wa Simba ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Msomaji anajifunza umuhimu wa kutii wazazi au walezi wake kupitia wahusika ambao ni Simba na mwanawe Kisimba. Picha za kuvutia zimejumuishwa ili kumsisimua msomaji zaidi.

Book Type

Print Book, e-book