Miti ni Uhai

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Henry Indindi
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-349-1

SKU: N/A Category: Tag:

Miti ni Uhai ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Miti ni Uhai ni hadithi inayowahimiza wanafunzi wa umri wowote ule kuchukua jukumu la kupanda na kutunza miti. Manufaa ya miti yameelezwa kwa njia inayoeleweka na msomaji wa kiwango hiki. Isitoshe, namna ya kutunza mazingira imesimuliwa na hivyo kukifanya kitabu hiki tunu kwa yeyote anayekisoma.

Book Type

Print Book, e-book