Michezo ni Afya

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Henry Indindi
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-353-8

SKU: N/A Category: Tag:

Michezo ni Afya ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Michezo anuwai imeangaziwa katika hadithi hii. Isitoshe, manufaa ya michezo hii yameelezwa kwa kina. Wanafunzi wanahimizwa kujumuika katika michezo mbalimbali ili kufurahia manufaa yake.

Book Type

Print Book, e-book