Masaibu ya Bintu

KSh78KSh120 "Does not include Tax"

Mwandishi: Yahya Mutuku
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-356-9

SKU: N/A Category: Tag:

Masaibu ya Bintu ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Hadithi ya Masaibu ya Bintu inanasa akili na hisia za msomaji na kuzipeleka katika safari ya mhusika mkuu, Bintu. Kisa hiki kinawaonya wanafunzi dhidi ya kuzungumza na kufuata watu wasiowajua kama alivyofanya Bintu akaishia kutekwa nyara. Vilevile, wanafunzi wanahimizwa kupiga ripoti kwenye kituo cha polisi kisa kama hiki kinapotukia.

Book Type

Print Book, e-book