Linda Anapenda Usafi

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Henry Indindi
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-340-8

SKU: N/A Category: Tag:

Linda Anapenda Usafi ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Hii ni hadithi ya picha inayowahimiza wanafunzi kudumisha usafi katika mazingira yao kama vile nyumbani na shuleni. Kwa kuisoma hadithi hii, fikra za msomaji zinakuzwa.

Book Type

Print Book, e-book