Lekula Anapenda Usafi

KSh78 "Does not include Tax"

Mwandishi: Masera Lewela
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-348-4

SKU: N/A Category: Tag:

Lekula Anapenda Usafi ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Kutokana na hadithi hii, msomaji anajifunza kuhusu kuwajibika katika kutunza usafi wa nyumbani. Mhusika mkuu Lekula ni kielelezo bora kwa wanafunzi wa kiwango hiki. Lekula anapopata kuku amechafua nyumba anafanya nini?

Book Type

Print Book, e-book