Kenga Anajikubali

KSh78KSh120 "Does not include Tax"

Mwandishi: Henry Indindi
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-355-2

SKU: N/A Category: Tag:

Kenga Anajikubali ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Hadithi hii inasimulia kisa cha mtoto Kenga aliyekuwa mlemavu. Kenga alijidharau na kujihurumia, wazazi wake na walimu wanamhimiza hadi anajikubali na kuishi maisha kama watoto wasio na ulemavu. Kenga anashiriki michezo mbalimbali na shughuli nyingine shuleni na kuibuka mshindi. Anapewa tuzo. Anapewa tuzo gani?

Book Type

Print Book, e-book