Familia Yangu

KSh78KSh120 "Does not include Tax"

Mwandishi: Henry Indindi
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-350-7

SKU: N/A Category: Tag:

Familia Yangu ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Kitabu hiki kinalenga kumwezesha msomaji kutambua na kuelewa siku za wiki. Siku hizi zimetumiwa kama wahusika wanaoeleza kuhusu nafasi zao katika juma. Kila siku inayozungumziwa imeashiriwa kwenye kalenda ili kurahisisha kutambulika kwake.

Book Type

Print Book, e-book