Busara na Hekima

KSh78KSh120 "Does not include Tax"

Mwandishi: Simiyu Mukuyuni
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-354-5

SKU: N/A Category: Tag:

Busara na Hekima ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao. Kauli mbiu ya hadithi hii ni ‘Tunza mazingira yakutunze.’ Mwandishi anatuchorea taswira mbili tofauti za wanadamu ambao wameyaharibu mazingira yao na hivyo kupata matatizo chungu nzima yanayotokana na hali hii na hali ya wanyama ambao wanatunza mazingira yao na kufurahia matunda yake. Kitabu hiki ni mwito mpya wa kutunza mazingira hasa mapori na mbuga.

Book Type

Print Book, e-book